Ulongupanjala
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 8,273
- 13,567
anakuja lini nije nimstiri?Wakuu habari zenu?
Nina kijana wangu wa kiume anataka kuja DAR kuanza kazi hivyo anahitaji kupata malazi/accommodation ya bei nafuu wakati akijipanga kutafuta chumba na vitu vyake.
Kazi yake ipo maeneo ya Posta hivyo anatafuta malazi yaliyo jirani na hapo au angalau apande daladala moja wakati wa kwenda na moja wakati wa kurudi Posta.
Asanteni.
Wakuu habari zenu?

Ubarikiwe kwa roho nzurianakuja lini nije nimstiri?
Mkuu royal court ni hostel?Pale sinza mugabe Kuna royal court ni nzuri San pia atafute chumba maeneo ya kimara hakozi
Jumapilianakuja lini nije nimstiri?
Jumapili ya lini mkuu ? siku 14 kuanzia leo nitakua nishamaliza kazi huku niliko na kurudi mjiniJumapili
Atakuja DAR keshokutwa 03/04/Jumapili ya lini mkuu ? siku 14 kuanzia leo nitakua nishamaliza kazi huku niliko na kurudi mjini