kisu
JF-Expert Member
- Mar 31, 2009
- 1,045
- 442
Nategemea kuja Dar kutoka ng'ambo hivi karibuni, na ninataka kukaa karibu sana na mlimani mall ili niwe naenda kwa miguu toka hotelini ingawa mguu wangu mmoja ni mbovu kidogo, natafuta hoteli nzuri (3 star kwenda juu) iwe karibu sana na Mlimani Mall.
Napendelea kukaa karibu na mlimani mall ili nifanye shopping ya mwisho mwisho kabla ya kusafiri na basi kwenda kanda ya Ziwa na pia ni karibu na kituo cha mabasi Ubungo.
Kwa mwenye kujua hoteli nzuri karibu na Mlimani Mall tafadhali sana naomba anijuze.
Asanteni.