Natafuta house girl. (mfanya kazi wa ndani)

Natafuta house girl. (mfanya kazi wa ndani)

vicent tibaijuka

JF-Expert Member
Joined
Mar 22, 2012
Posts
268
Reaction score
59
Natafuta house girl, mwenye uwezo wa kunisaidia tafadhari nisaidie. namba yangu ni 0717421196. naishi Dar es salaam. asante.
 
Toa details za kutosha tukusaidie. Umri gani, utamlipa shlingi ngapi, kazi za kufanya ni zipi asije akafanya kazi nje na tunamvyomtuma. Umeoa? Una familia ya watu wangapi? Unaishi Dar sehemu gani na je, akipatikana nauli utatuma?
 
Back
Top Bottom