vicent tibaijuka JF-Expert Member Joined Mar 22, 2012 Posts 268 Reaction score 59 Sep 18, 2012 #1 Natafuta house girl, mwenye uwezo wa kunisaidia tafadhari nisaidie. namba yangu ni 0717421196. naishi Dar es salaam. asante.
Natafuta house girl, mwenye uwezo wa kunisaidia tafadhari nisaidie. namba yangu ni 0717421196. naishi Dar es salaam. asante.
M MTORI Member Joined Jun 19, 2012 Posts 46 Reaction score 4 Sep 18, 2012 #2 umeowaa? au unataka dogodo.
M MTORI Member Joined Jun 19, 2012 Posts 46 Reaction score 4 Sep 18, 2012 #3 umeowaa? au unataka dogodogo.
Msenyele JF-Expert Member Joined Feb 7, 2012 Posts 338 Reaction score 86 Sep 19, 2012 #5 Toa details za kutosha tukusaidie. Umri gani, utamlipa shlingi ngapi, kazi za kufanya ni zipi asije akafanya kazi nje na tunamvyomtuma. Umeoa? Una familia ya watu wangapi? Unaishi Dar sehemu gani na je, akipatikana nauli utatuma?
Toa details za kutosha tukusaidie. Umri gani, utamlipa shlingi ngapi, kazi za kufanya ni zipi asije akafanya kazi nje na tunamvyomtuma. Umeoa? Una familia ya watu wangapi? Unaishi Dar sehemu gani na je, akipatikana nauli utatuma?