Kwa nini unapendelea wa kutoka Iringa?
au ndo wepesi kupunjika?
definetely + inawezekana anaogopa wa kutoka Tanga mume atayumba!
Hata mi wa Tanga sishauri,mme wangu maji simuwekei,chai ya mdalasini hapati,udi sipulizi,kanga moja sivai..............ni kukaribisha tu ushindani na worries,huyo huyo wa Iringa,wa Kigoma wakijua mji utawachukia......all the best!
kwa hayo usiyoyafanya kwa mumeo lazima anapata nje hata wakati wa luch, akiwa kazini.
wacha kuturusha roho wajameni!
sina watoto,familia watu 3
Hivi ni uvivu au kitu gani,kwa nini kila mtu anatafuta msaidizi nashindwa kuelewa.
tatizo linakuja pale HG anapoamua kumsaidia mama kwa mzee