natafuta house girl/msaidizi wa kazi za nyumbani

Siyo uvivu kwani si wanawake wote ni mama wa nyumbani. Imagine una baby wa miezi 3 na aunafanyakazi, utafanyaje bila kuwa na msaidizi? acha hayo Shosti
 
hata kama mnafanya kazi nje ya nyumba,nafikiri mkijipangilia wewe na mumeo utaratibu mzuri kabisa hamuhitaji mtu wa kuwasaidia na vilevile inazidisha upendo kati yenu

Shost usiseme
Just imagine una mtoto mdogo ,mme anafanya kazi na wewe unafanya kazi
katika mazingira hayo unafanyaje ?????
 

Nakushauri uwasiliane na makonda wa mabasi ya Upendo kwa kuwa wamekubuhu katika kazi ya kukabidhiwa wasaidizi wa ndani kuwaleta mjini.
 
angalia tu matokeo ya form four utafute contact,utawapata kibaooo!
 
Bongo raha mno. Nchi za matajiri kuajiri msaidizi wa ndani ni kwa matajiri wakubwa, wenye kipato cha kawaida si rahisi kwani mshahara wa mfanyakazi wa ndani ni sawa na mshahara unaopata kazini au chini kitogo tu kwa 1-5% hapo mtu anaona bora mwenyewe ajibidishe. Ndo maana hata uzazi wa mpango umeshamiri sana nchi za ulimwengu wa kwanza kwa vile malezi ya mtoto ni shughuli nzito mno, huna wa kumwachia, na kama unadiriki child care ila siku watakunyofoa $75.
Dawa ya kudhoofisha hii biashara ya watumishi wa ndani ni kudai mishahara kamili ya ajira na wapate haki zote kama mfanyakazi mwingine.
 
Hata mi wa Tanga sishauri,mme wangu maji simuwekei,chai ya mdalasini hapati,udi sipulizi,kanga moja sivai..............ni kukaribisha tu ushindani na worries,huyo huyo wa Iringa,wa Kigoma wakijua mji utawachukia......all the best!

Makubwa!!:coffee:
 
Hata mi wa Tanga sishauri,mme wangu maji simuwekei,chai ya mdalasini hapati,udi sipulizi,kanga moja sivai..............ni kukaribisha tu ushindani na worries,huyo huyo wa Iringa,wa Kigoma wakijua mji utawachukia......all the best!

mh ewe kyekue'kukee wa tanga dede? Mhh konmeamba wongo ereya iruwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…