Wana jf nawaombeni kama kuna ambae anajua kuna mahali kuna housegirl please naomba tuwasiliane nina shida sana. Awe amemaliza standard seven na awe anajua kazi za ndani mshahara 30000 ni familia ya watu watatu pamoja na yeye na nyumba si kubwa mimi naenda job mtoto school hivyo atabaki na nyumba tu please msaada wenu.
my contact please 0787 481765, 0757 511531

siku hizi kuwapata tabu kweli...ukiuliza unaambiwa wamejiunga shule za kata.......
Ila kama unamaanisha na unawatoto wadogo ambao ungeenda wawe well cared mtafute binti aliemaliza certificate ya early childhood...
yaani buku kwa siku? ebu kuweni na huruma na hawa watu ambao wengi mazingira ndiyo yamewafanya wawe hivyo walivyoWana jf nawaombeni kama kuna ambae anajua kuna mahali kuna housegirl please naomba tuwasiliane nina shida sana. Awe amemaliza standard seven na awe anajua kazi za ndani mshahara 30000 ni familia ya watu watatu pamoja na yeye na nyumba si kubwa mimi naenda job mtoto school hivyo atabaki na nyumba tu please msaada wenu.
my contact please 0787 481765, 0757 511531
pole mpenzi hata mimi nilikuwa na shida kama yako. jaribu kuwasiliana na mawalala wanaowaketa kutoka kijijini utapata.
pole mpenzi hata mimi nilikuwa na shida kama yako. jaribu kuwasiliana na mawalala wanaowaketa kutoka kijijini utapata.
yupo - ana cheti cha nurse (assistant) - yaani certificate ya mwaka mmoja, amesomea pia kazi za matron (shule)
hataki kulala - atakuja asubuhi na kuondoka jioni - mshahara 70,000/= Anajua kupika, kufua, kunyoosha nguo, kufanya usafi etc. kama uko tayari - yupo ready - ni PM please. Kama utasisitiza akae hapo hapo - mtaelewana