Mr Confidential
JF-Expert Member
- Jul 1, 2018
- 1,532
- 2,415
Je, ni wapi naweza kupata housing mpya au used? (Ni housing ya plastic)
Makadirio ya bei ni kiasi Gani?
Na gharama za ufundi ni kiasi Gani?
Nb: Hizi picha nimedownload online. Ila PC iliyoharibika Iko exactly the same na hii niliyopost hapa.
View attachment 2484332