NATAFUTA HR

caine

JF-Expert Member
Joined
Jul 4, 2015
Posts
576
Reaction score
1,315
Habari za asubuhi
Kama kichwa kinavyojieleza nahitaji mfanyakazi HR awe mwanamke na anaishi mkoa wa Lindi.
Elimu ni certificate au diploma

Mshahara
400,000

Naomba kusisitiza awe mwanamke na anaishi mkoa wa lindi. Wakipatikana zaidi ya mmoja ni lazima wafanyiwe usaili.

Update: Nimefanikiwa kupata ila nje ya JF. Nashukuru wote mliochangia.
 
Bado sijapata. Anahitajika kwa haraka.
 
HR mshahara 400k, mfanyakazi ndo atapata 100k
 
Company ina deal na shughuli gani basically?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…