Mimi ni mjasiriamali mdogo kwa sasa ninahitaji kufungasha bidhaa zangu kwa vifungashio vya kisasa (export quality) na kuuza bidhaa zangu kwenye supermarkert au kusafirisha kwenda nje naomba kama kuna mwana JF anayejua mahali napoweza pata huduma ya vifungashio vya kisasa tuwasiliane kupitia hapa. au nipigie 0784876210