Mkuu unaweza ukatupa details kuhusu ilo shirika.... ikiwa ni pamoja na eneo walipo au website yaoKuna shirika linaitwa VSO hili nishirika la kujitolea linapokea maombi ya kazi za kujitolea. Kwa Ushindani ulivyo sasa peleka CV yako haraka. tumeomba watu wa IT na watawaleta hivi karibuni, unaweza kuletwa huku. Unalipwa kidogo lakini si haba kulikoni kukaa tu.
Mkuu unaweza ukatupa details kuhusu ilo shirika.... ikiwa ni pamoja na eneo walipo au website yao
Habari JF?
Nime graduate BSc Computer science kwenye chuo kimojawapo nje ya nchi.. Ningependa kufanya kazi nyumbani Tanzania, kwa hiyo ninaomba mwenye taarifa za zitakazowezesha kupata kazi ya ICT..
I am ready to start a job anytime kuanzia August. Naweza fanya hata Assignment based Jobs pia.
Shukrani..
Kuna shirika linaitwa VSO hili nishirika la kujitolea linapokea maombi ya kazi za kujitolea. Kwa Ushindani ulivyo sasa peleka CV yako haraka. tumeomba watu wa IT na watawaleta hivi karibuni, unaweza kuletwa huku. Unalipwa kidogo lakini si haba kulikoni kukaa tu.
mkuu wewe unataka watu waku PM ili iweje? tuupatie mawasiliano ya hayo makampuni ya kujitolea kama unayo tafadhaliNi pm tafadhale?
Mkuu unaweza ukatupa details kuhusu ilo shirika.... ikiwa ni pamoja na eneo walipo au website yao
Sorry I was away and busy I didn't reply in time. Pamoja na contact toka kwa mdau tafadhali angalia na hii hapa VSO Volzone hawa ndo nilio walenga unaanza kwa ku-create account kwa kutumia hiyo link.mkuu hili shirika lipo wapi? nipatie contact zake bwana, nimechoka kubweka darasani wakati nina higher diploma ya IT
mbona hy mody hans hayuko active? Amekaa na hizo cv tu? Na hatuanbii chochote!