Kwitogelo JF-Expert Member Joined Jan 18, 2023 Posts 310 Reaction score 442 Feb 20, 2023 #1 Wakuu habari? Vibaka wameniotea bwana wakaamua kuniachia box lake tu, sasa nimezunguka kuitafuta nmekosa. Kama kuna duka kwa DSM hapa nielekezeni ase.
Wakuu habari? Vibaka wameniotea bwana wakaamua kuniachia box lake tu, sasa nimezunguka kuitafuta nmekosa. Kama kuna duka kwa DSM hapa nielekezeni ase.
dronedrake JF-Expert Member Joined Dec 25, 2013 Posts 23,901 Reaction score 58,103 Feb 20, 2023 #2 Pole, Gerezani mtaa wa Kiungani na Sikukuu, hutojutia
Isanga family JF-Expert Member Joined Feb 25, 2015 Posts 17,080 Reaction score 33,076 Feb 20, 2023 #3 dronedrake said: pole, Gerezani mtaa wa Kiungani na Sikukuu, hutojutia Click to expand... Yap pana jamaa anajiita Nakara au Makara ana balaa na vitu vya Pump au mambo ya bomba na hana bei kubwa tofauti na wengine ..
dronedrake said: pole, Gerezani mtaa wa Kiungani na Sikukuu, hutojutia Click to expand... Yap pana jamaa anajiita Nakara au Makara ana balaa na vitu vya Pump au mambo ya bomba na hana bei kubwa tofauti na wengine ..
Kwitogelo JF-Expert Member Joined Jan 18, 2023 Posts 310 Reaction score 442 Feb 20, 2023 Thread starter #4 dronedrake said: Pole, Gerezani mtaa wa Kiungani na Sikukuu, hutojutia Click to expand... Asante,nitafika
dronedrake said: Pole, Gerezani mtaa wa Kiungani na Sikukuu, hutojutia Click to expand... Asante,nitafika
B BabuMkubwa JF-Expert Member Joined Feb 11, 2017 Posts 2,417 Reaction score 3,590 Feb 20, 2023 #5 Hapo unataka kufunga Immersible au Submersible kwa sababu Immersible ni rahisi sana kuibiwa motor .
E EVIGT JF-Expert Member Joined Jul 9, 2014 Posts 526 Reaction score 415 Feb 21, 2023 #6 Kwitogelo said: Wakuu habari? Vibaka wameniotea bwana wakaamua kuniachia box lake tu, sasa nimezunguka kuitafuta nmekosa. Kama kuna duka kwa DSM hapa nielekezeni ase. View attachment 2524075View attachment 2524075 Click to expand... Njoo Gerezani mtaa wa Kiungani, Nicheki 0699494650
Kwitogelo said: Wakuu habari? Vibaka wameniotea bwana wakaamua kuniachia box lake tu, sasa nimezunguka kuitafuta nmekosa. Kama kuna duka kwa DSM hapa nielekezeni ase. View attachment 2524075View attachment 2524075 Click to expand... Njoo Gerezani mtaa wa Kiungani, Nicheki 0699494650
The Knowledge Seeker JF-Expert Member Joined Apr 13, 2019 Posts 3,418 Reaction score 5,028 Jun 16, 2023 #7 Ni hii waitafuta na je kama ndio hiyo wataka mpya? Attachments IMG_6695.JPG 1.1 MB · Views: 11