francois voltaire
Member
- Aug 20, 2020
- 57
- 144
Ni ngumu kidogo kupata incubator ya mayai 30 exactly, waga yanazidi kidogo na kuanzia kama 48 hiviHabai,
Poleni na kazi wapendwa,
Naomba anayejua bei ya incubator au anauza incubator ndogo ya mayai 30 naomba tuwasiliane
Nipo morogoro mie.
Shukrani.
Changamoto Kama zipiNi ngumu kidogo kupata incubator ya mayai 30 exactly, waga yanazidi kidogo na kuanzia kama 48 hivi
ila sikushauri kununua hizi ndogo, Zina changamoto sana, at least jichange utafute kuanzia mayai 120-200
Kuzungusha mayai
Nicheki wasapu natengeneza hizo incubator 0768 033 544Habai,
Poleni na kazi wapendwa,
Naomba anayejua bei ya incubator au anauza incubator ndogo ya mayai 30 naomba tuwasiliane
Nipo morogoro mie.
Shukrani.