kindoki JF-Expert Member Joined Sep 17, 2018 Posts 213 Reaction score 218 Dec 14, 2018 #1 Wadau, natafuta injini ambayo itafiti kwenye KAWASAKI KMX200,ina ukubwa kama Baja, sasa niweke injini ipi yenye nguvu nzuri , iwe ya kichina au kijapani, na kama bei inafahamika naomba kupewa majibu
Wadau, natafuta injini ambayo itafiti kwenye KAWASAKI KMX200,ina ukubwa kama Baja, sasa niweke injini ipi yenye nguvu nzuri , iwe ya kichina au kijapani, na kama bei inafahamika naomba kupewa majibu
Kennedy Platinum Member Joined Dec 28, 2011 Posts 62,832 Reaction score 77,037 Dec 14, 2018 #2 Ungewatembelea Honda Nadhani Unaweza Kupata
Hazchem plate JF-Expert Member Joined Feb 25, 2011 Posts 11,059 Reaction score 15,534 Dec 14, 2018 #3 Ungeweka picha ya iyo pikipiki yako kwanza