mfuga kuku
JF-Expert Member
- Jul 14, 2014
- 851
- 667
Habari wandugu,
kwa mdau yeyote ambae ana information ya wapi naweza kupata mashine ya kutotolesha vifaranga(inkubeta)
naomba anijuze, napendelea zaidi za mitumba.
Habari wandugu,
kwa mdau yeyote ambae ana information ya wapi naweza kupata mashine ya kutotolesha vifaranga(inkubeta)
naomba anijuze, napendelea zaidi za mitumba.
Hizi za hapa Tanzania ni nzuri pia ila inategemea na fundi, Ninayo moja ya hapa Tz ni nzuri nilitaka kuuza ila nimegahiri maana utendaji wake ni mzuriNashukuru sana lkn hizi za made in tanzania nimezitumia sana huwa zinaharibika haribika sana.