Natafuta internship au nafasi ya kazi ya Electrical Technician

Natafuta internship au nafasi ya kazi ya Electrical Technician

goxum10

Senior Member
Joined
Apr 1, 2020
Posts
179
Reaction score
210
Habari zenu wadau wa JamiiForums,

Nina ombi kama kuna mtu yeyote anaeweza kunisaidia kupata internship kwenye kampuni yoyote ile ya Electrical Technician anisaidie.

Au kama una kazi yoyote kuhusiana na Electrical Technician.

Mimi ni graduate wa Diploma katika masuala ya Electrical Engineering.

Asanteni
 
Safi Sana umeonesha ukomavu.sio unasema naomba connection ya kazi Yoyote ile.wewe uko specific subiri mwongozo wanakuja.
 
Back
Top Bottom