Natafuta investment patner/co-founder, aina ya biashara - Software as service business model (Saas)

Hizi ideas kila mwanachuo anazo, lakini kwenye kufanikiwa ndio shuhuli. VIpi unatafuta investor wakati hata program haipo live?
 
Shukrani kwa mchango wako boss but soma vizuri uelewe uzi kabla hujatoa mchango , kipindi naandika hii post nlikuwa kwenye initial stage , but kwa sahiv Glory be to God business iko ina run .
 
ongezea kitu kinaitwa online claim submission ya NHIF, utanishukuru milele (hii siri ya biashara nimekumegea kidogo)
Thanks mkuu hii ipo on plan mda sio mrefu itakamilika baadhi ya clients tulioanza nao imekuwa ni demand yao kubwa . Barikiwa sana boss for showing love and concern .
 
Mkuu mimi ninawazo la Apps, tofauti la lako ,kama utakuwa interest na hilo wazo tutaweka partnership kwa namna itakavyowezekana, nicheki whasap +255699494650
 
Mkuu mimi ninawazo la Apps, tofauti la lako ,kama utakuwa interest na hilo wazo tutaweka partnership kwa namna itakavyowezekana, nicheki whasap +255699494650
Mkuu nime kuchek PM please pitia then nipe mrejesho
 
Sikukatishi tamaa ila kama uko serious nenda kwenye familia yako wakudhamini ukope benki kisha uweke mzigo kwenye biashara yako. Ikishindikana endelea kusevu hela ndogondogo unazopata uje uwekeze kwenye hiyo.
 
Shukrani boss kwa ushauri i appreciate that.
 
Shukrani kwa mchango wako boss but soma vizuri uelewe uzi kabla hujatoa mchango , kipindi naandika hii post nlikuwa kwenye initial stage , but kwa sahiv Glory be to God business iko ina run .
Demo ipo?
 
Mkuu kuna watu tayari wameanza kutumia software ?
Hiyo investment unahitaji ni kwenye ni hasa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…