Dark Angel
JF-Expert Member
- Sep 12, 2013
- 212
- 220
unaishi wapi? kama tanzania maduka mengi ya Posta zipo ila sina hakika kuhusu body spray...NATAFUTA ASSEY MIYAKE ,SMART COLLECTION
BODY SPRAY AND PERFUMES.
Wakuu..
Salaam kwenu.
Wanajamvi Nazitafuta sana hizi vitu.
Kama unazo ama unajua naeza pata pls ni PM.
Aksante.
Niko mtwaraunaishi wapi? kama tanzania maduka mengi ya Posta zipo ila sina hakika kuhusu body spray...
mmmmm huko hata sijawahi kufika sijui mwaya..Niko mtwara