Natafuta IST au VITz ya kukodi kwa ajili ya uber

mambo_safi

Senior Member
Joined
Jul 22, 2019
Posts
176
Reaction score
440
Mwenye IST au VITz ya kukodi kwa ajili ya uber tuwasiliane! Nitamletea hesabu nzuri. Gari langu liko kwenye matengenezo makubwa! 0738969673
 
30,000 kwa siku. Wengi ninaowajua wanaleta 20,000 hadi 25,000
 
Zakaria mimi nina mwaka wa Pili na nusu kwenye hizi kazi huku barabarani kulivyo na mambo yanayofanywa na hizo taasisi sasaivi please usijinasibu rejesho refu kiasi hicho na service juu yako kazi itakushinda utagombana na wamiliki wa vyombo vyao.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kaka mi mwenyewe ni dereva najua kinachoendelea na sijajinasibu kwamba nitafanyia services gari huyo ni mtoa post ndo anataka kufanyia gari service mi natafuta gari ya hesaba 25 elfu kwa siku na nnaiweza ila services anafanya boss
 
Back
Top Bottom