Shukrani mkuu nimefanikisha leo saa moja asubuhi nililata washkaji wanaenda kusimamia miradi yao kyela so tukawa team safari ilikua tamu sana shukrani kwa msaada wako. Mbeya nimeingia saa 11.Inabidi ukae hapo kituo cha mafuta kabla ya round about ya Msamvu huwa ndio kituo chao cha kuchukua abiria.
Kuna madalali inabidi uongee mwenyewe na madereva gari ikiingia hapo
Mkuu mi natafuta makumpuni au Agents wa kusafirisha hayo magariMbona wapo wengi tu