Natafuta jamaniii....natafuta mwenzenu

D'angelo

Member
Joined
May 11, 2011
Posts
10
Reaction score
0
Natafuta mrembooooo kuanzia miaka 24-26 awe mzuri wa sura na roho......awe ana kazi yake na awe tayari kupima hii ni serious
 
Ukishindwa hapa jaribu hata kwenda ''google'',
naskia kule hakuna kinachokosekana
 
Kupima nini
minyoo?
mkojo ama?
 
Miaka yote umesoma,unafanyakazi unaenda kwenye warsha na mikutano,kanisani n.k ujapata kweli.Naona wewe haupo makini kama umeshindwa kuwapata uko hapa pia itakuwa ngumu ndugu yangu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…