Natafuta jengo la kupanga kwa ajili ya shule

Joined
Mar 5, 2012
Posts
90
Reaction score
23
SHULE YA KUPANGA(KUKODISHWA) INATAFUTWA.

Ndugu yangu ameniomba nimuwekee TANGAZO hapa. Anatafuta shule/majengo yanayopangishwa. Kama una taarifa , unajua ama uneona sehemu nitaomba unijulishe... Iwe Dar es Salaam, Pwani(Kibaha) au Mbeya(Mjini, Rungwe, Tunduma), Morogoro, au Dodoma.

Natanguliza shukrani.

Kwa mawasiliano; 0763 894508
 
Shule gani...ya awali/chekechea/vidudu, ya msingi, ya sekondari/upili, high school, zote kwa pamoja? Ungeweka some detail au angalau uwe specific zaidi. Itakupunguzia idadi ya simu sisizo na manufaa na itakokoa muda wako pia.
 
Kimsingi iwe shule ya Nursery mpaka Primary, standard seven.Asante kwa kunishauri hivyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…