Sefu jafary
JF-Expert Member
- Jun 5, 2016
- 382
- 258
Kwanza kabisa ni mshukuru mungu kwa kunipa uzima hadi leo nimekuwa mtu mzima nafikiria kuoa.
Pia shukran za pekee ziende kwa wazazi wangu ambao walionyesha upendo wa dhati tangu nikiwa mdogo hadi sasa.
Kwa kawaida baada ya kumaliza kusoma ni mda muafaka wa kutafuta jiko.
Kama kichwa kinavyo sema "natafuta jiko" mchumba wangu anatakiwa awe na vigezo vifuatavyo:-
○awe muislam
○awe ana elimu ya certificate,diploma au degree.
○ajue kuishi na watu (socialisation)
○awe mkweli.
○awe mbunifu.
○asiwe mlevi wa sigara wala pombe.
Kwa mawasiliano tuwasiliane kupitia sefujafari06@gmail.com.
Sent using Jamii Forums mobile app