Ww ndio mjinga sisi wenzako tumeshajua siku inaendaje ndio maana tuna sit back and enjoy ila ww usiejua siku yako ikoje ndio maana una kazi ya kulaumu kila mtu.... [emoji15] [emoji15] [emoji28]Ujinga gani unaandika asubuhi hii. Badala uwaze mambo ya msingi unawaza kulelewa!
Sent using Jamii Forums mobile app
Asante jimamaUjinga gani unaandika asubuhi hii. Badala uwaze mambo ya msingi unawaza kulelewa!
Sent using Jamii Forums mobile app