Natafuta Jina Jipya

Companero

Platinum Member
Joined
Jul 12, 2008
Posts
5,606
Reaction score
1,711
Ndugu Wanalugha, baada ya kuhamasishwa na mjadala mkali kuhusu uzawa, uasili, uzalendo na uraia nimeamua kubadili jina langu lisilo la Kiafrika ili niwe na jina la Kikwetu. Sasa shida niliyo nayo ni kupata jina muafaka. Nachotaka ni jina la Kiafrika/Kitanzania. Laweza kuwa la Kibantu au la ili mradi liwe la Kiafrika. Tena liwe na maana inayojulikana na inayoweza kuhamasisha uzalendo. Kwa sasa nimepata majina hayo hapo chini, naomba mniongezee mengine ili nipanue wigo wa uchaguzi.

1. Bimwenyi
2. Ngabuto
3. Zakenda
4. Mwakisaka
5. Vavi
 
msakanyoka
maviumeshi
lyambalamfipa
Ng'wananzila
 
Just kaa chini na mtu anayejua familia yenu vizuri, chora pedigree chart ya ukoo wako, ukifanikiwa kupata vizazi vitano tu utapata hapo utapata jina linalokufaa....!
 
Just kaa chini na mtu anayejua familia yenu vizuri, chora pedigree chart ya ukoo wako, ukifanikiwa kupata vizazi vitano tu utapata hapo utapata jina linalokufaa....!

Majina hayo yalishaathiriwa na wamishionari/wakoloni - Hebu fikiria 'babu mkuu' ana jina la Kuhani fulani kwenye Bibilia!

Ngoja niendelee kukusanya majina:

6. Zwelizima
7. Tekero
8. Sambombo
9. Chachala
10. Kinsenge
 
Majina hayo yalishaathiriwa na wamishionari/wakoloni - Hebu fikiria 'babu mkuu' ana jina la Kuhani fulani kwenye Bibilia!

Ngoja niendelee kukusanya majina:

6. Zwelizima
7. Tekero
8. Sambombo
9. Chachala
10. Kinsenge


  • Ngenjafibili
  • Mpunguliana
  • Ng'wanang'waka
  • chibulunje
  • Tyetyetye
  • Ngendabanka
  • Munguya
  • Kanankira
 
Companero = comrade, fellow

Rafiki
Mwandani
Myino
Swahiba
Mshikaji
 
Komba ha ha ha jina maarufu sana kule Mkoa wa Ruvuma
 
Sita Kingunge
Tanzania Mwafrika
Songea Majimaji
 
Machibya
Shikonoka
Ng'hoboko
Shinhung'ha magulu
Mpuyangi
Mang'ong'osela
Madakopye
Shinonu
Nsaji
Nsonso
Nkombi
Masalla
Mandege
Ntemi
Thumuni
Maliboto
Nshashi
Mnang'weli
Hungwe
Mboli
Mang'ombe
Ng'wanasebu
Nheregani
Buyegi
Ntondogoso
Shibongi
Noni
Masebhu
Maliwa
Ng'harasa
Magulu
Ng'wanambiti
Ng'hanzo
Ngofilo
Masuke
Sute
Ng'wibi
Nsogi
Maganiko
Mnadongo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…