Natafuta jina la huu wimbo mzuri

Natafuta jina la huu wimbo mzuri

Gepard

JF-Expert Member
Joined
Feb 8, 2021
Posts
291
Reaction score
385
Kama kichwa Cha habari kilivyo. Poleni na majukumu. Kuna wimbo nliupenda sanaa, nliusikia Mara moja tu kwenye coaster wakati nasafiri.

Hints;
1) Ndani kashirikishwa Juma nature.
2) Huo wimbo ni mpya.
3) Ni dizaini ya nyimbo Kama za kina C Bella.
4) Baadhi ya maneno huko ndani- - Kiitikio anaimbaa kitaa lelele×2

Kuna mda anataja macelebrities wa bongo. Mfano anasema "Hamisa mobeto hajui kuimba kafanya kolabo na Bella".
mitandaoni sijaupata maana sina taarifa nyingi.

Please nahitaji kujua jina la wimbo.
 
Ngoja waje wataalamu, utaupata. Ningejua jina lake tu, ninge upload dakika sio nyingi sana
 
Download shazan iwashe uisikilizishe hiyo sauti itakupa jina.
 
Download shazan iwashe uisikilizishe hiyo sauti itakupa jina.
Sasa sauti ipi chief? Anakwambia aliusikia wakati anasafiri.

Business idea;

App ambayo inakutajia jina la wimbo kwa kuingiza hints kama hizi.
 
Back
Top Bottom