Leonard Waziri Member Joined Aug 15, 2013 Posts 55 Reaction score 23 Jul 15, 2021 #1 Naomba anisaidie au hata mawasiliano ya karibu na chuo hicho
S Shololomo Senior Member Joined Jun 20, 2021 Posts 111 Reaction score 141 Jul 15, 2021 #2 Pamoja na kuelewa ulichomaanisha,heading yako inaleta ukakasi
Mbagala stendi JF-Expert Member Joined Nov 8, 2020 Posts 331 Reaction score 383 Jul 15, 2021 #3 Ingia kwenye student application profile aliyojisajilia utakuta joining instruction.
Muhsin Snr JF-Expert Member Joined May 8, 2020 Posts 515 Reaction score 806 Jul 15, 2021 #4 Mbagala stendi said: Ingia kwenye student application profile aliyojisajilia utakuta joining instruction. Click to expand... Na asipoiona ajue baadhi ya vyuo wanatoa joining baada ya kukuchagua(kwa waliofanya online application) 🔔
Mbagala stendi said: Ingia kwenye student application profile aliyojisajilia utakuta joining instruction. Click to expand... Na asipoiona ajue baadhi ya vyuo wanatoa joining baada ya kukuchagua(kwa waliofanya online application) 🔔