Jamani natafuta kabinti kadogo, kateke, english medium, dot. com ambacho kitakuwa kinaniliwadha kwa kuniimbia nyimbo za blues na swagga za kudeka deka hivi na kunitania tania na vijimambo vingine kama kuni-facebook n.k ila sio kuchakachuana
Sina nia mbaya ni kutaka tu kujifurahisha mtima wangu na kupunguza stress za maisha ila narudia tena kuchakachuana NO

Funza ujasiri wako sasa naona umepitiliza!!!
Huna stress za maisha rafiki................hujasikia kuchakachua is one of the Great stress removers? lol nakutania mwaya
Kama una stress za maisha na mtima wenye huzuni, kabinti kateke hakatakusaidia, Njoo kwa Yesu akupe pumziko na amani ya daima.
mwone vilee!!!!!!
Sjakumissssssssssss!!!!
oyaaa huku huimbi mabata?
yanaimbwa pakiwa na watoto km wewe.
nipo sweetieAsalaam alequm...bwana asifiwe upo?
mwone vilee!!!!!!
sjakumissssssssssss!!!!
nipo sweetie
vp new beb boy ajambo?
ptia kndn basi badaye ukitoka job
nina umbeya mwaya yaan mpk folda zote zimejaa nafanya kusev kwenye xtenal
njoo nikupashe mbwiga wee yaliyojiri mjin apa
PRIMITIVE LIVING WTH PRIMINIST WAKE STL ON AIR...upo?
Hajambo naona kaamua kukabali sifurukuti kila wakati anataka maziwa na kubembelezwa
Hata mimi pia naona extenal imejaa umbea karibu utamwagika... vipi leo wapi? kwa Eliza?
tokaaaaaaaaaaaaaaaaa!!!!!uzuri wa mapenzi yetu huwa yanajionyesha wazi tu,
hayaitaji mtu kutafuta extra efforts kugundua hilo,
OOOh...Thanks GOD!!!!!!
UBARIKIWE MAMA!!!!
nako kabinti kanatafuta kijana mteke hivi kaku rap ili awe anacheza pia mcheza kikapu anaona anamfaa zaidi nadhani nafuta mkubwa kwa size yako mi ntakuelekeza walipo
weeeeeeeeeee weeeeeeeeee mi ntakuwa matron wako plssss....:wink2::wink2:!!!!!
mnyonyeshe uyoooooo mpe nyonyo anyonye anenepe asipate kwashakoo bure mtoto wa wawatu!!!!!
njo kwa geto bwana km vp ndo tutapanda wote kwa jj au ?asi unajua kibajaj pbm?
sasa wewe nenda wanakouza kuku wa kisasa utapata kateke
hahahaha, tehetehe
fidodido