Natafuta kampuni hii inayouza baiskeli

Mady boy

Member
Joined
Dec 19, 2023
Posts
5
Reaction score
0
Msaada jamani Kuna kampuni inaitwa Meridian bit tech from Zanzibar inajihusisha na uuzaji wa baskeli .nilikuwa naomba muongoz kwa anae ifaham.
Shukran
 
Kama umelipia, umepigwa...ukiona wauzaji wa vitu mtandaoni kwa bei chee alafu wanatokea zanzibar au dodoma..jua unapigwa
Kweli nakazia hapo cjui Dodoma, au Zanzibar kua makini , Kuna jamaa wapo Dodoma laptop y milioni wanauza laki mbili yn
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…