Natafuta kampuni inayotengeneza U-PVC windows

Nokla

JF-Expert Member
Joined
Aug 12, 2012
Posts
3,190
Reaction score
1,774
Habari wakuu, nahitaji kampuni unayo-deal na hayo mambo ili nikamilishe mradi wangu. wazoefu naombeni msaada.
asanteni
 
Habari wakuu, nahitaji kampuni unayo-deal na hayo mambo ili nikamilishe mradi wangu. wazoefu naombeni msaada.
asanteni

Mkuu wewe ungeeleza wewe unapatikana mkoa gani ili mtu anapowasiliana na wewe iwe rahisi
 
mkuu napatikana dar-es-salaam, na project ipo kigamboni
 
Zipo profile nzur white aluminium inafanana sana na hiyo pvc kama hauto jar nichek +255 654 069 041 npo dar es salaam WhatsApp pia no hyo nitakutumia sample ya dirsha 1
 
Pvc ni nzur ata bei yake ipo juu sana ila yenyewe inataka sehem ya barid sana co kwa dar es salaam
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…