Natafuta Kampuni inayoweza kufanya plumbing, Electrical installation, air conditioning system na ICT and security

Natafuta Kampuni inayoweza kufanya plumbing, Electrical installation, air conditioning system na ICT and security

Breeze Rabi

New Member
Joined
Jan 19, 2020
Posts
2
Reaction score
3
Habar wakuu

Kwanza Natafuta kampuni(sio mtu) iliobobea kwenye maswala ya plumbing inayoweza kufanya plumbing both maji Safi na maji taka kwenye gorofa tatu tatu(zipo gorofa nyingi) na kusambaza maji kwenye maeneo yote ya eneo hilo kwajili ya matumizi mbali mbali Kama ya swimming pool, umwagiliaji bustani n.k.Pili natafuta Kampuni inayoweza kufunga cctv camera kwa ufanisi.

Tatu natafuta Kampuni ya kufunga air conditioning system.Na mwisho natafuta Kampuni ya kufanya electrical installation.

NB.Natafuta Kampuni zenye uzoefu na miradi mikubwa.majengo yote yana three floors..ni Dm or nitext WhatsApp kwa 0693797110. As soon as possible.
 
Kuna kampuni inaitwa.

Fundi hub limited (fundi@work)

Hawa jamaa ofisi zao zipo Msasani

Ni wabobevu kwa kazi zote za Maintenance

0785434343

For more info wacheki
 
Back
Top Bottom