Natafuta kampuni ya kunidhamini kupata leseni ya kinapa kwa ujira wa kuitumikia kampuni hiyo!

Natafuta kampuni ya kunidhamini kupata leseni ya kinapa kwa ujira wa kuitumikia kampuni hiyo!

john leonard

Member
Joined
Apr 20, 2012
Posts
62
Reaction score
6
ni mvulana mtanzania mwenye umri wa miaka 26,niongeae kiingereza sanifu,mwenye uzoefu wa miaka miwili kwenye fani ya mlima kilimanjaro nikitumika kama mpishi na msaidizi wa kiongozi wa mlima,namiliki cheti cha utalii"advance certificate in wildlife and tourism",naomba mwenye uwezo wa kunisaidia kuendeleza fani yangu na kujiwezesha na kipato anisaidie.
 
Back
Top Bottom