Natafuta Kampuni ya Kutafiti na kuchimba Madini kwenye eneo langu

Sokoro waito

JF-Expert Member
Joined
Nov 21, 2014
Posts
2,201
Reaction score
2,599
Ninatafuta kampuni inayotafiti madini na uchimbaji pia. Eneo lina HATIMILIKI HALALI, lipo wilaya ya TARIME na pia liko umbali wa mita 300 na eneo wanapochimba wachimbaji wadogo wa dhahabu. KWA YEYOTE ANAYEWEZA KUNISAIDIA KUZIPATA KAMPUNI HUSIKA KWA HILI ANIPM TAFADHALI.
 


Mkuu karibu sana, sisi ni kampuni ya kitanzania yenye ma Geologist wenye uzoefu wa shughuri hizo wa zaidi ya miaka kumi, unaweza kutupata kupitia namba hii +255766775255
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…