Natafuta kampuni ya uchimbaji visima

mzuwanda

Member
Joined
Jan 12, 2013
Posts
11
Reaction score
0
Nipo pugu kigogo fresh! Nahitaji kampuni ya kunichimbia kisima kirefu. Nijulishe gharama zake. Tuwasiliana no 0718412041
 
nenda pale nyuma ya ubungo maji au pembeni ya chuo cha maji wanaitwa DDCA njia ya kwenda UDSM

au pale kariakoo ilokuwaga stand ya buguruni zamani kuna kampuni inahusika na uchimbaji wa visima, jina nimelisahau.

unaweza ukajaribu kote kulinganisha huduma zao
 
Cost zinatofautiana kutegemea na urefu wa kisima kuna baadhi ya maeneo yanahitaji kufanya survey lkn maeneo mengine sio lazima hasa kutokana na uzoefu wetu wa kuchimba maeneo mbalimbali ya dar
 
Buyuni Chanika kuna haja ya kufanya survey?
 
Cost zinatofautiana kutegemea na urefu wa kisima kuna baadhi ya maeneo yanahitaji kufanya survey lkn maeneo mengine sio lazima hasa kutokana na uzoefu wetu wa kuchimba maeneo mbalimbali ya dar
Maneno mingiii na swali halijajibiwa. Toa bei acha blabla, huu ublabla hautatufikisha popote watanzania.
 
Nenda Bugurun sokon karibu kabisa na kituo cha mabac yaendayo Kisarawe utakuta ofic zao na nje utakuta gari lao
 
Nipo pugu kigogo fresh! Nahitaji kampuni ya kunichimbia kisima kirefu. Nijulishe gharama zake. Tuwasiliana no 0718412041

Kuna mchina alituchimbia Kisima pale Pugu Kajiungeni cha mita 80, gharama zake zilikuwa nafuu, nitakutafutia namba yake.
 
ukimpata huyo mchina,nami usinisahau,nahitaji huduma yake,naelewa hawezi ku-fake ktk kisima
 
Kuna mchina alituchimbia Kisima pale Pugu Kajiungeni cha mita 80, gharama zake zilikuwa nafuu, nitakutafutia namba yake.

Kaka na mimi usiniache naona mjasiliamali ana biashara ya kitanzania zaidi.
 
Cost zinatofautiana kutegemea na urefu wa kisima kuna baadhi ya maeneo yanahitaji kufanya survey lkn maeneo mengine sio lazima hasa kutokana na uzoefu wetu wa kuchimba maeneo mbalimbali ya dar

Mwaga bei kwa mita unachimba sh.ngapi acha porojo unapiga picha mashine za watu alafu unaanza porojo!!!na kufanya survey sh. Ngapi???🙁
 
Kisima kwa jiji la dar
Mita 60-ml 3.5
Mita 80-ml 4
Mita 100-ml 6
Mita 120-ml 7.2
Mita 150- ml 12
Gharama hizi ni kwa kuchimba kisima mpaka pump test.
Tumeondoa gharama za pump ili tukupe uhuru wa kuchagua pamp unayopenda kufuatana na ubora sisi tutakushauri ununue pump ya uwezo gani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…