Natafuta Kampuni ya ujenzi wa mabanda ya Kuku ya kisasa Mwanza.

Dr wa Kaliua

JF-Expert Member
Joined
Sep 20, 2020
Posts
1,634
Reaction score
3,833
Habari JF
Naomba msaada Nina tafuta Kampuni au mtu yoyote mwenye ujuzi wa ujenzi wa Banda zuri la Kuku

lengo Ni kufuga Kuku wa kienyeji kwa Biashara Naomba msaada

Nipo mwanza naomba msaada Sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…