Athuman Mpambije Athuman
Member
- Jul 31, 2020
- 52
- 147
Mshana Jr njoo hukuNawasilimu kwa jina la Mwenye Enzi Mungu..
Nauhitaji sana na kupata kufahamu Kampuni gani zinazojihusisha na Usafirishaji wa Mizigo kutoka INDIA kuja TANZANIA.
Nina mzigo nimeupata.. Na Supplier wangu anapatikana India, hivyo nahitaji kupata Makampuni ya Usafirishaji.
Nenda kwenye maduka ya Wahindi watakupa contact, kwa Wahindi hiyo ni fursa hata kahawq na soda utapewa na kiti utapewa cha kukaa kusubili simu.Nawasilimu kwa jina la Mwenyenzi Mungu,
Nauhitaji sana na kupata kufahamu kampuni gani zinajihusisha na usafirishaji wa mizigo kutoka India kuja Tanzania.
Nina mzigo nimeupata na Supplier wangu anapatikana India, hivyo nahitaji kupata Makampuni ya Usafirishaji.
Nimekucheki inbox PM mkuu.Nawasilimu kwa jina la Mwenyenzi Mungu,
Nauhitaji sana na kupata kufahamu kampuni gani zinajihusisha na usafirishaji wa mizigo kutoka India kuja Tanzania.
Nina mzigo nimeupata na Supplier wangu anapatikana India, hivyo nahitaji kupata Makampuni ya Usafirishaji.
Nimekucheki inbox PM mkuu.Nawasilimu kwa jina la Mwenye Enzi Mungu..
Nauhitaji sana na kupata kufahamu kampuni gani zinazojihusisha na Usafirishaji wa Mizigo kutoka INDIA kuja TANZANIA.
Nina mzigo nimeupata.
Na Supplier wangu anapatikana India, hivyo nahitaji kupata Makampuni ya Usafirishaji.
Nitumie instructions za hiyo mashine ilipo nitakusimamia ipitie Dubai ndio njia rahisi kisha ikishafika Dubai maituma ije TanzaniaMimi pia kuna kama shine cha kilo 50-100 kanapatikana India [emoji1128] nakihitaji sana