Wapemba leteni connection za Dubai Jamani naskia nyie Wapemba ndio mnafaidi mema ya huko. Ruti za Tandika na Temeke tumewaaachia mmejaza NISSAN CIVILIAN zenu hebu toeni Connection sie tuzipeleke huko Mangaka. Onyesheni Umoja wa Kitaifa