Natafuta kanga 20 wa kufuga nipo Mwanza

Natafuta kanga 20 wa kufuga nipo Mwanza

SOKO LA MAGARI

Senior Member
Joined
Oct 26, 2014
Posts
115
Reaction score
66
NATAFUTA KANGA 20 WA KUFUGA MWANZA
Wawe bado wadogo jike 15 na jogoo 5

weka bei hapa na mahala wa kuwapata
 
Njoo nikupe bure nipo Serengeti hapa unajikamatia hata ukitaka mbuni njoo mkuu
 
Cheki ma group ya kilimo na ufugaji facebook. Ukiwapata tuma mtu athibitishe. Epuka matapeli.
 
Njoo Dodoma mkuu wapo wa kumwaga hata weupe!
Hii ya Dodoma,ni kweli...niliagiza huko kanga weupe,na wengine wamadoadoa weupe kwa weusi....kwa jamaa mmoja anaitwa ROBERT NCHIMBI ...NIMEPOTEZA NAMBA YAKE,ILA WEUPE ALINIUZIA 40,000 na hawa wakawaida 20,000 ...sijui kwasasa bei imeshuka au ni ileile
Ila walikuwa wakubwa wanataga
 
Huku uwende na kipindi wenyeji wamevuna ,ukitaka bei nzuri kuanzia mwezi wa 12!
 
Na vibali vya mali asili muwe navyo sasa isije siku wakawapa kesi za uhujumu mkaanza shangaa shangaa.
 
Npe 120000 nkupe kanga 10 npo tarime nimeamua kuwauza watoke maana wanakelelee sana
Majike yapo 9 dume 1
 
Back
Top Bottom