Natafuta karanga mbichi kwa ajili ya biashara

Natafuta karanga mbichi kwa ajili ya biashara

The ice breaker

JF-Expert Member
Joined
Apr 20, 2023
Posts
880
Reaction score
1,985
Wakuu habari,

Natafuta mkulima, wa karanga mbichi, ambae ataniuzia kwa bei ya shambani, ni kuajili ya biashara..

Kama una mzigo, nichek watsAp 0742596431, tufanye biashara.

Mimi nipo Dar.
 
Wakuu habari,

Natafuta mkulima, wa karanga mbichi, ambae ataniuzia kwa bei ya shambani, ni kuajili ya biashara..

Kama una mzigo , nichek watsAp 0742596431, tufanye biashara

Mimi nipo dar,

Ngoja waje
 
Nahitaji kama hizi

images%20(8).jpg
 
Dahh.. Huku nilipo rejareja wanauza 4,500 kwa kilo.
 
Kama bado unahitaji natarajia kuvuna January tuwasiliane +255 622 642620 Mungu alihamia.
 
Back
Top Bottom