The ice breaker
JF-Expert Member
- Apr 20, 2023
- 880
- 1,985
Wakuu habari,
Natafuta mkulima, wa karanga mbichi, ambae ataniuzia kwa bei ya shambani, ni kuajili ya biashara..
Kama una mzigo , nichek watsAp 0742596431, tufanye biashara
Mimi nipo dar,
upo wapi ?Dahh.. Huku nilipo rejareja wanauza 4,500 kwa kilo.
Njombe.upo wapi ?
kwetu hukoNjombe.
Hizo karanga mbona bei sana? Siku hizi wakulima wanajipandishia tu bei ya mazao bila kuzingatia kanuni za kimasoko.Dahh.. Huku nilipo rejareja wanauza 4,500 kwa kilo.
Jamaa kasema hiyo ni reja rejaHizo karanga mbona bei sana? Siku hizi wakulima wanajipandishia tu bei ya mazao bila kuzingatia kanuni za kimasoko.
500kg mpaka 1tonnmkuu unahitaji kiasi gani mkuu
Unanua Bei gan @kg500kg mpaka 1tonn
Dawa kushika jembe tuHizo karanga mbona bei sana? Siku hizi wakulima wanajipandishia tu bei ya mazao bila kuzingatia kanuni za kimasoko.
Uko wapiunahitaji