Zile karatasi zipo mafinga kuna kiwanda cha wahindi Ndo wanatengeneza sema kiwanda kipo ndani ndani sehemu inaitwa mgololo gari zinazoenda uko ni noah mara ya mwisho kununua lile bunda lilikuwa ni laki 4 na point kwa sasa sijajua kama zimepanda au laah Ila lile dude ni zito balaa ndomana unafwata mwenyewe mpaka ndani either na boda au gari hawanaga delivery