Level yangu ya Elimu Nina degree nanina uzoefu WA miaka2
mimi ni mwalimu pia,nina BAED ya UDSM (2006-2009) Linguistics (English language) na History.natafuta kazi ya kufundisha.nipo Boko- Dar es salaam.Unaweza kunipata kupitia 0753275322
Boko sehemu gani mkuu?
Mimi NI MWALIMU WA ENGLISH,HISTORY NINA BACHELLOR OF ARTS WITH EDUCATION , KAMA KUNA MTU ANASHULE PLEASE PM ME! NINAISHI UBUNGO GELEJI!
we ni mwalimu kweli wa kingereza? Angalia makosa yako siyo bachellor bali ni bachelor
Boko sehemu gani mkuu?
Karibu Boko Basihaya.Boko-Maliasili