Natafuta kazi/ajira nina Diploma ya Communication

Natafuta kazi/ajira nina Diploma ya Communication

Vaselictor

Member
Joined
Apr 10, 2022
Posts
16
Reaction score
3
Habari,

Mimi ni binti wa miaka 24

Nahitaji kazi za online

Ninaishi Dar es Salaam, Mbezi Mwisho

Secretary, Customer service

Nina Diploma ya Communication

Pia Ninajua kuzungumza English

Pia najua kutumia computer na ku-correct grammar kwenye documents yoyote
 
Jirani yangu kumbe, nitafute tuwe tunapeana connection
 
Habari,

Mimi ni binti wa miaka 24
nina diploma ya communication
ninaishi Mbezi Mwisho, Dar es Salaam

Natafuta kazi ya huduma kwa wateja (customer service) ONLINE
AU part time customer service ambayo iko both online au kwenda na kurudi

Ninaweza kutumia computer, smartphone bila uoga.

Mawasiliano : 0657986791
 
Back
Top Bottom