Habari,
Mimi ni binti wa miaka 24
nina diploma ya communication
ninaishi Mbezi Mwisho, Dar es Salaam
Natafuta kazi ya huduma kwa wateja (customer service) ONLINE
AU part time customer service ambayo iko both online au kwenda na kurudi
Ninaweza kutumia computer, smartphone bila uoga.
Mawasiliano : 0657986791