Duh! Uko mkoa gan n una uwezo gan nje ya huu uhasibu mana kupata kaz Kwa Sasa si mchezoHabari Wana Jf,
Mimi ni binti wa miaka 27 nimesoma diploma ya uhasibu na tangu nimemaliza sikubahatika kupata kazi zaidi ya kufanya biashara ndogo ndogo nazo zimekufa kwa kukata mtaji.
Sina familia yakuitegemea labda ningeweza kuomba mtaji hivyo nawaomba ndugu jamaa na marafiki wa humu Jf kwa unyenyekevu naombeni kazi mkoa wowote hata nikianza kwa kujitolea na malipo kidogo nitashukuru.
Niko Dar boss na popote nipo tayar kufanya KazDuh! Uko mkoa gan n una uwezo gan nje ya huu uhasibu mana kupata kaz Kwa Sasa si mchezo
Chakula na malaziKitu gani kilipelekea bznes yako kufa?
Na sio lazima iwe uhasibuDuh! Uko mkoa gan n una uwezo gan nje ya huu uhasibu mana kupata kaz Kwa Sasa si mchezo
Oke wakuu nadhani wamesikia humu. Mm Ningekuw na pande hata la casual cleaner ningekupa mana siri ya unayo pitia Kwa Sasa na baadh ya ndugu zangu humu mungu ndo anajua
Au namba yake sio kwa ubaya au kama yeye mwenyewe anaona hii txt naomba anitextHaya waungwana naombeni I'd mpya ya wangari mwenye nayo naomba naombaaaa