Natafuta Kazi ambayo hahitaji Elimu

Natafuta Kazi ambayo hahitaji Elimu

SSEKK The Literally

JF-Expert Member
Joined
Sep 5, 2023
Posts
1,134
Reaction score
1,905
Ni matumaini yangu mu bekheri wa afya wakuu kwa wanaoumwa poleni sana na mtakuwa sawa tena.

Mimi ni kijana wa miaka 26 -28 nipo Jijini Mwanza ahangaika ila katika mihangaiko yangu mambo yamekuwa magumu deals zimekata kbs hadi nachanganyikiwa pesa sina kodi ndio imefika na kama mjuavyo Mwanza kodi unalipia kwa miezi 6.

Nimejaribu kutafuta kazi na kuzunguka viwandani huko Machinjioni na Gedeli ila kote nafas zimejaa, nawaombeni wanaJF walio hapa wenye connection ya kazi isiyohitaji elimu wanipe ramani kwa hapa Mwanza nikajarbu wapi!? Naona nitakufa kwa njaa jmn na sitaki kurudi Dodoma sshv ambako ndio nyumbani.

Wapendwa mliopo Mwanza nipeni connection na mimi nipate kuweka mkono kinywani nipo National.

Asanteni.
 
Mkuu mbona unayo Elimu kwa unavyoandika una Elimu Tosha labda sema hauna vyeti....

Anyway jaribu kupita sehemu watu labda wanajenga jenga ukipata hata kibarua cha siku wakiona upigaji kazi wako watakuwa wanakuita (sababu huwa wana watu wao kwenye contacts zao) Anyway mkuu hali sio hali kila kukicha afadhali ya jana, Kwahio usife moyo hili ni janga la wengi...
 
Asante sana mkuu kwa ushauri wako na pia kwa kunitia moyo, Nashukuru mno.
 
Ni matumaini yangu mu bekheri wa afya wakuu kwa wanaoumwa poleni sana na mtakuwa sawa tena.

Mimi ni kijana wa miaka 26 -28 nipo Jijini Mwanza ahangaika ila katika mihangaiko yangu mambo yamekuwa magumu deals zimekata kbs hadi nachanganyikiwa pesa sina kodi ndio imefika na kama mjuavyo Mwanza kodi unalipia kwa miezi 6.

Nimejaribu kutafuta kazi na kuzunguka viwandani huko Machinjioni na Gedeli ila kote nafas zimejaa, nawaombeni wanaJF walio hapa wenye connection ya kazi isiyohitaji elimu wanipe ramani kwa hapa Mwanza nikajarbu wapi!? Naona nitakufa kwa njaa jmn na sitaki kurudi Dodoma sshv ambako ndio nyumbani.

Wapendwa mliopo Mwanza nipeni connection na mimi nipate kuweka mkono kinywani nipo National.

Asanteni.
Dogo mkaldayo Chaliifrancisco hao mbusii maamaee.

Uumbwaaa
 
Mimi ni kijana wa miaka 26 -28 nipo Jijini Mwanza ahangaika ila katika mihangaiko yangu mambo yamekuwa magumu deals zimekata kbs hadi nachanganyikiwa pesa sina kodi ndio imefika na kama mjuavyo Mwanza kodi unalipia kwa miezi 6.

Asanteni.
By the way hio miaka 26 mpaka 28 inakuwaje inabadilika kutokana na kazi ?
 
Ni matumaini yangu mu bekheri wa afya wakuu kwa wanaoumwa poleni sana na mtakuwa sawa tena.

Mimi ni kijana wa miaka 26 -28 nipo Jijini Mwanza ahangaika ila katika mihangaiko yangu mambo yamekuwa magumu deals zimekata kbs hadi nachanganyikiwa pesa sina kodi ndio imefika na kama mjuavyo Mwanza kodi unalipia kwa miezi 6.

Nimejaribu kutafuta kazi na kuzunguka viwandani huko Machinjioni na Gedeli ila kote nafas zimejaa, nawaombeni wanaJF walio hapa wenye connection ya kazi isiyohitaji elimu wanipe ramani kwa hapa Mwanza nikajarbu wapi!? Naona nitakufa kwa njaa jmn na sitaki kurudi Dodoma sshv ambako ndio nyumbani.

Wapendwa mliopo Mwanza nipeni connection na mimi nipate kuweka mkono kinywani nipo National.

Asanteni.
Unaweza kuuza nguo mnadani?
 
Back
Top Bottom