Natafuta Kazi - Arusha

Natafuta Kazi - Arusha

viccah

Member
Joined
Apr 16, 2012
Posts
16
Reaction score
2
[h=2]Natafuta Kazi -Arusha[/h]
Mimi ni mgeni katika jukwaa hili, naombeni msaada wenu nipo Arusha na nina tafuta kazi hata kwa mtu binafsi nitafanya si lazima serikalini.Professional yangu ni Receptionist, Secretary and Customer Care Service.
Nitashukuru sana, Email yangu ni veronicajr00@yahoo.com. Simu: 0712804233
Ahsanteni.

 
Mambo vipi?

We mwenye mgeni hapa A town na bado huwatafuti members wa mji?

Nimesema ngoja nikupandishie hii maana naona kama imesahaulika.
Na bila shaka wakuu watakutafakari!

Jf ni mambo yote!
 
Back
Top Bottom