Natafuta kazi au kibarua chochote kahama

Natafuta kazi au kibarua chochote kahama

lintolinto

Member
Joined
Oct 4, 2024
Posts
17
Reaction score
31
Habari zenu wana JamiiForums

Naomba mnisaidie natafuta kazi yoyote kahama kama kuna mtu anamtafuta mtu wa kumsaidia kwenye kazi zake kama kuuza duka au kwenye restaurant kazi kama hizo naweza na ni mchapa kazi na muamifu na nmesoma pia nna diploma ya account
Jinsia -Mwanamke
Umri-24
 
Kuolewa je?
images%20(1).jpg
 
Back
Top Bottom