<br />Hili eneo ni nyeti sana, usiwe na shaka utapata. Ngoja nikuchekie chekie kwa machizi hapa.
<br />Sidhani kama anamaanisha hilo mkuu. Naamini anaaminsha watu anao wajua. We upo fani gani mkuu?
Mr Senetor, japo sijui maana ya ugwini lakini bado hatuwezi kujenga msingi ktk hilo. Kila domain in umuhimu wake. Unaonekana ni mtu smart sana. Ebu tusaidiane tupate kazi, tujenge taifa.<br />
<br />
me ni ngwini mkuu,sciance nliikimbiaga tangu niko chekechea.
Hongera kwa kuchagua kuwa DBA.Naomba nikushauri ndugu.Kampuni nyingi hasa za kitanzania ni kweli wanahitaji watu wa kariba yako hasa kwenye angle ya Oracle.POST AM LOOKING FOR: DATABASE ADMINISTRATOR
Platforms: ORACLE/ SQL SERVER
LEVEL: INTERMEDIATE
Nina degree ya Computer Science na nina experience ya mwaka mmoja ktk hii fani. Pia ninauzoefu na PL/SQL
Nikijana mchapa kazi, mbunifu na mwenye nidhamu.
Asanteni wakuu.