analysti JF-Expert Member Joined Aug 24, 2009 Posts 731 Reaction score 614 Apr 13, 2010 #1 Kuna ndugu yangu, ni binti, ana umri wa miaka 28, ana degree ya IT, anatafuta kazi Dodoma. Ndugu wana JF naomba msaada wenu kama kuna mtu yeyote anataarifa zozote zitakazosaidia.
Kuna ndugu yangu, ni binti, ana umri wa miaka 28, ana degree ya IT, anatafuta kazi Dodoma. Ndugu wana JF naomba msaada wenu kama kuna mtu yeyote anataarifa zozote zitakazosaidia.